1. Bulembo: kauza shule 6 za Jumuiya ya wazazi
2. Waziri Mkuu Majaliwa: Aliuziwa moja ya shule ya wazazi na Bulembo. kwa bei ya kutupwa. Kisha alipoenda kuhojiwa na kamati ya Dr. Bashiru wasaidizi wake waliwakufukuza kama mbwa
3. Lowassa: Alikwapua share za CCM katika miliki ya jumla ya Channel ten
4. January Makamba: Alishiriki kuuza share za Halotel zilizokuwa zinamilikiwa na CCM
5. Nape Nauye: Baada ya uchaguzi Mkuu alichukua magari 3 VX mapya ya CCM
6. Shaka H Shaka: Alifoji hati ya maeneo ya UVCCM kwa kushirikiana na mwekezaji kisha kuchukua mkopo bank zaidi ya dola laki 200,000
7. Mbunge Sixtus Mapunda: Wizi wa mamilioni katika mashamba ya Igumbiro, pamoja na kufoji muhtasari ya baraza la wadhamini. Hii ni pamoja na kufoji saini za wajumbe wa baraza hilo na aliyekuwa Mwenyekiti Dr. Nchimbi
8. Jumuiya ilioongoza kwa ubadhirifu ni ya Wazazi ikifuatiwa na jumuiya ya Vijana (UVCCM)
9. Baadhi ya wahusika kupandishwa kizimbani kuanzia wiki ijayo June,2018 akiwemo Shaka na Sixtus Mapunda
10. Makatibu wa mikoa zaidi ya 10 wa Chama wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
11. Makatibu wa mikoa 8 wa UVCCM wahusika na ubadhirifu wa kufa mtu
NB: Dr. Bashiru aapa kuwawajibisha kila moja aliyeonekana hata katika page moja ya karatasi.
Source: jamiiforums.com