HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 6 Mei 2018

Mahakama ya Mwanzo Mbeya Yateketea kwa Moto Usiku wa Kuamkia leo


MBEYA: Mahakama ya Mwanzo iliyopo Uyole yateketea kwa moto usiku wa kuamkia leo

Hakuna madhara ya kwa binadamu lakini mafaili yote yameteketezwa na moto huo

Inaelezwa kuwa hadi kufikia majira ya saa tatu usiku kila kitu katika Mahakama hiyo kilikuwa kimeteketea

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na wakazi wa Uyole ya Kati wameshirikiana kuzima moto huo lakini jitihada hizo hazikufanikiwa kuokoa chochote

Mpaka sasa chanzo cha tukio hilo bado hakijafahamika