unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie selfie kuilemba hiyo pc hivi ukisimamishwa na wanaume ukatongozwa utalaumu? hasa Ninyi wanaume wa dar ndo kazi yenu kushinda saloon na kufanya sijui wanaita nini ile! mwili uso unakuwa kama mrembo. acheni ulimbukeni. kuwaridhisha wake zenu mmeshindwa kazi iliyobaki ni kujilemba tu. elimikeni basi mnachekwa na mademu zenu. povo ruksa mi naoshia hapo. nawakilisha hoja.
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->
Jumapili, 6 Mei 2018
