HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 27 Mei 2018

REAL MADRID WAINYUKA LIVERPOOL 3-1, WANYAKUA TENA UBINGWA


HABARI kubwa katika Ulimwengu wa soka leo ni kuhusu ushindi wa Klabu ya Real Madrid ya Hispania ambayo imeinyuka Liverpool ya uingereza kwa bao 3-1 katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Mabingwa Ulaya na kunyakua kombe hilo kwa mara ya nne mfululizo.