HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Ijumaa, 4 Mei 2018

Uhuru wa kutoa maoni wamponza Msigwa aomba msamaha na kubeba lawama Zote


Wajamvi Wasalaam..
Mh Msigwa huenda akalazimishwa kujiuzulu baada ya kuendelea kuandamwa kwa kile kinachoitwa ni kosa kumsifia Mh Rais Magufuli....

Ukweli ni kwamba kati ya jambo ambalo hulipigania wapinzani ni uhuru wa maoni na kujieleza na jambo hilo sasa limeanza kumponza Mh Msigwa baada ya kutoa maoni yake jinsi anavyo uona utwala wa Ccm chini ya Rais Magufuli..

Lakini baada ya Msigwa kutumia haki yake ya kikatiba Msigwa amejikuta kwenye matata na wanachama wa chama kinacho jiita cha demokrasia na maendeleo...kwa kosa la kutekeleza demokrasia...

Hivyo Mh Msigwa baada ya kushutumiwa msaliti na mambo mengi sana sasa ameona awaombe radhi na kusema ana beba lawama zote hana namna...

Pole sana Msigwa mambo ya uhuru wa maoni yamekuponza..n.