Viatu vya Mohamed Salah alivyotumika kuchezea mpira vimewekwa katika Makumbusho ya Misri nchini Uingereza. Katika msimu wa 2017/18 Mo Salah ameshinda tuzo binafsi 6 ikiwa ni pamoja na kiatu cha dhahabu kwa kufunga magoli 32 EPL