HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 29 Mei 2018

Watoto Sita Wafa Katika Ajali ya Gari Tanga


Mwonekano wa gari lililopinduka.
WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga, kupinduka.
Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Korogwe.
Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.

BONYEZA KUSOMA ZAIDI


Seebait.com 2018SeeBait