HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 29 Mei 2018

Nsajigwa,Pondamali kukalia kuti kavU


 KIKOSI cha Timu ya Yanga kufanya mabadiliko ya bechi  la ufundi kwa baadhi ya makocha.Ambapo Kocha msaidizi wa kikosi hicho Shadrack Nsajigwa pamoja na kocha wa makipa  Juma Pondamali ndio watakao ondolewa na kuongezwa wengine.
 Huku wakibaki Mwinyi Zahera, Pamoja na Noeli Mwandila katika benchi hilo la ufundi.
Akiongezeka Kocha wa Kagera Sugar  Meck Mexime huku nafasi ya Juma Pondamali ikichukuliwa na Razack Siwa ambaye ni raia wa Nchini Kenya.
Hi imekuja Baada ya Kikosi hicho kutokufanya vizuri katika msimu huu uliofikia Tamati jana Mei 28 Ligi kuu Vodacom Tanzania Bara Ambapo msimu huu umemlizika vibaya kwa upande wao kwa  kushika nafasi ya 3 wakiwa na alama 52 Azam wakiwatangulia mbele kwa pointi 6 na kushika nafasi ya Pili,Huku Mabingwa wapya wa ligi hiyo Simba Sc wakiwa mbele kwa alama 69.

Seebait.com 2018SeeBaitSeebait.com 2018SeeBait