HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 7 Mei 2018

Wolves warejea ligi kuu ya Uingereza

 Klabu ya Wolves imefanikiwa kutwaa ubingwa wa ligi (EFL  CUP) baada ya kutoka sare ya bila kufungana dhidi ya Reading FC na kufanikiwa kutinga Ligi Kuu ya Uingereza msimu ujao.

 Wachezaji wa Wolves wameonekana mchana waleo siku ya Jumatatu wakizunguka kwenye mitaa mbalimbali huku wakiwa na furaha ya kutwaa ubingwa huo na kufanikiwa kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Uingereza.