Timu ya Simba imefanikiwa kutinga hatua ya Nusu Fainali ya Michuano ya SportpesaSuperCup baada ya kuifunga Timu ga Kariobangi Sharks kwa Penati 3-2.