HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Ijumaa, 20 Aprili 2018

Alicho andika aliyekuwa mpenzi wa Marehemu Agness Masogange


Mkono Umekuwa Mzitoo Hata Kuandika Maumivu Niliyonayoo Naona Nashindwa .
Dunia tambara mbovu , unadeki salama mchana usiku unakua mmbovu.
Umenifunza mengi niliyokua siyajui , ulisema nishkuru mungu watu wakikupenda kwani Adui haumjui.
Miezi 11″ tumeishi nashkuru ulinipeleka kupima ( Palestina ) , Nilitokwa na jasho ukanicheka ukaniambia huwez nipenda kama nikikataa ku
pima .
Magazeti ya udaku walipotaka SABABU sikuweza kuweka tofauti zetu HADHARANI kwani bado moyoni niliamini ipo siku Tungeweza Kumuepusha SHETANI .
Tulikesha Usiku Na Mchana ili Ucheze Filamu Yetu Kwa Hisia ” Ukasema Hii Iwe Kumbukumbu Yako Kama Niliwahii Hata Kwenye Kazi Zako Kukusaidia.

SASA Kwanini Filamu Yetu Tulitunga jina liitwe #HUKUMU ?
Ilikuwaje Story ya Filamu Mwisho Unafariki ?
KWANI tulikua tunatungia iwe kweli Hukumu yako ???? Mungu ndio HAKIMU wa viumbe vyote katika DUNIA , Umeondoka ghafla sanaa , Na hii pia ni funzo umeniachia .
#PumzikaSalama #MileleNakuombea #RIPLOVE