HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Anguko la Mange na waliomtuma limetimia

Jeshi la polisi kwa ushirikiano na vyombo vya usalama vingine nchini vimefanikiwa kuzuia tishio la maandamano tarehe 26/04/2018,

Kuna mtazamo wa kusema Mange kafanikiwa kuitikisa Serikali, si kwel. Serikali ndo chombo pekee chenye jukumu la msingi la kulinda, kutetea na kutunza amani nchini, na jeshi lilichukua jukumu lake la msingi kulinda amani hiyo.

Walikua sahihi kuchukua hatua za tahadhali kwa kiwango kile, kwani km pangetokea machafuko bhas gharama ya kuirudisha ingekua ni kubwa. na ni sisi ndo tungekuwa wakwanza kuilaumu serikali,

Nimefurahi kuona umakini na uwezo mkubwa wa serikali ktk kulinda amani.

Nnacho amini, nyuma ya Mange kuna maadui wa taifa walio ratibu zoezi zima la maandamano, ndo mana umeona vyombo vya habari vya kimataifa km al jazeera na BBC wamekua wakitangaza sana kuhusu maandamano haya,

Tumeona Mange akihojiwa na VOA ameshindwa hata kujielezea tu kwa ufasaha, ile imetokana na kutokuwa muasisi wa harakati zile ila kapewa jukumu lile na baadhi ya watu kisha yeye kukaa pale kama bosheni. Mange hana uwezo huo wa kuratibu bila watu hao wa kimataifa waliotaka kuona serikali ya Tanzania kuanguka.

Pole Mange, Bravo Tanzania.

Upinzani si kuvuruga amani.