HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 8 Aprili 2018

AWCON Q 2018: Twiga Stars waahidi kuipigania nchi yao

Kocha msaidizi wa kikosi cha timu ya Taifa ya soka kwa upande wa wanawake (Twiga Stars) Edna Lema amesema kikosi chake kipo katika hali nzuri kuelekea mchezo wa marudiaano dhidi ya wenyeji timu ya taifa ya Zambia (She-Polopolo).

Edna amesema anashukuru Mungu kwani wachezaji wote wapo katika hali nzuri baada ya safari ya takribani masaa nane ambapo waliwasiri jioni ya siku ya Ijumaa na asubuhi ya Jumamosi wamefanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo utakaofanyika Jumapili April 8, 2018.

"Timu ipo kwenye hali nzuri, na tumefanya mazoezi ya mwisho asubuhi ya leo tayari kwa mchezo wa kesho, hali ya hwea ni nzuri, naweza kusema ni ya kawaida ambayo haiwezi kutuathiri chochote, kuhusu wachezaji vijana wote ni wazima na wameahidi kuipigania nchi kwa njia ya kupata matokeo," Edna amesema.

Wanachotakiwa kufanya

Twiga Stars wanahitaji ushindi wa aina yoyote au sare ya kuanzia mabao 4-4  ili kusonga mbele katika hatua inayofuata, na hiyo ni kufuatia sare ya mabao 3-3 waliyoipata katika mchezo wa kwanza uliofanyika jijini Dar es Salaam April 4, 2018.

Mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Nkoloma mjini Lusaka na mwamuzi wa mchezo huo ni Lidya Tafesse ambaye anatoka nchini Ethiopia, na ikumbukwe mshindi wa mchezo huo atakutana