Yanga, Rayon Sport na Gor Mahia ndio timu pekee kutoka ukanda wa Afrika Mashariki kutinga hatua ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika.
Nichezo ya mtoano imekamilika usiku wa kuamkia leo hivyo idadi ya timu 16 zikazopangwa katika makundi ya timu nne nne zimepatikana.
Droo ya hatua Makundi itafanyika siku ya Jumamosi April 21 jiji la Cairo nchini Misri.
Miongoni mwa timu zilizofuzu, Yanga imeorodheshwa namba 06 kwa ubora kati ya timu zote 16. Yanga imepata alama mbili kwani hii ni mara yake ya pili kutinga hatua hiyo katika kipindi cha miaka mitano.
Orodha ya timu zote zilizofuzu;