Wakati huu hakuna ambae alisema maaskofu wanachanganya dini na siasa.Hatukuona waraka wa kuwajibu maaskofu na kukodi vijana wahuni kuwatukana viongozi na vijigazeti vya kufungia maandazi.Hatukuona wanaambiwa wanatumiwa na CDM.Ukifurahia kusifiwa jifunze kukosolewa,tujisahihishe