HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 19 Aprili 2018

Tazama picha mbalimbali Harusi ya Alikiba iliyofanyika Leo Asubuhi Mombasa

 Msanii Ali Kiba amefunga ndoa leo katika msikiti wa Ummul Kulthum jijini Mombasa. Ndoa hiyo imefungwa na Sheikh Mohamed Kagera.

Sherehe itafanyika hapo baadae na inatarajiwa kuhudhuriwa na watu maarufu kutoka maeneo mbalimbali.

Kwa upande wake Rais wa Awamu ya Nne, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na mwanaye Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete wametoa udhuru wa kutohudhuria sherehe ya harusi ya msanii huyo kutokana na kuwa na majukumu mengine.