HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 10 Aprili 2018

Kauli ya mtoto Wa lowassa baada ya mdada kudai alizaa na Lowassa mbele ya Makonda

Kauli ya mtoto Wa lowassa baada ya mdada kudai alizaa na Lowassa mbele ya Makonda

Salaams. Nimesikia mwanamama mmioja akiongea kuwa yeye ni ndugu yetu kule Dar es Salaam. Kwa taarifa tu sisi watu wa Monduli kwetu watoto ni baraka na neema, nimeshangaa ametukosa ukoo mzima kujitambulisha. Namwambia Paul Makonda, nimetoka naye mbali sana, nasikitika sana anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua. Makonda nimekulea.