Kutoka bungeni Dodoma Mbunge Livingstone Lusinde ametaka wapinzani kutoweka wagombea kwenye uchaguzi mdogo ili kupunguza gharama za uchaguzi na pesa ziende kwenye maendeleo.