HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 9 Aprili 2018

KAULI YA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI BAADA YA KURUDI

KAULI YA SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI BAADA YA KURUDI
Spika wa Bunge Job Ndugai ameongoza kikao cha tano cha bunge la kumi na moja baada ya kutoka kwenye matibabu nje ya nchi. “Nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunirudisha salama, Mwanadamu sio jiwe lazima apitie mapito. Nimerudi na sasa tupo pamoja.
Baadhi yenu labda hamjawahi kulazwa hospitali mkiwa mnaumwa sana alafu unanakuwa kama upo peke yako kidogo na kuna dalili zinakuwa zinaonesha kama kesho inaweza isikuche hivi….
Ina raha yake na tabu yake kidogo, nawaombea msipate machungu haya” –Spika Job Ndugai