HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 14 Aprili 2018

Mbunge Godbless Lema na Mkuu wa Mkoa Arusha Mrisho Gambo Wamaliza Tofauti zao

Mbunge Godbless Lema na Mkuu wa Mkoa Arusha Mrisho Gambo Wamaliza Tofauti zao

Mbunge wa Arusha Mjini, Mheshimiwa GODBLESS LEMA na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bwana MRISHO GAMBO wamemaliza tofauti zao za muda mrefu.

Baadhi ya wananchi wamesema hatua hiyo itatoa fursa ya kuunganisha nguvu zao kushughulikia masuala ya maendeleo na kutatua kero zinazoikabili jamii.