Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo amesikitishwa na taarifa ya ajali ya gari iliyompata Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ta Kongwa ndugu Ngusa Izengo iliyotokea usiku WA kuamkia leo katika eneo la Chalinze Nyama nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Taarifa kamili juu ya ajali hii mtajulishwa baadaye.
Inetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Ofisi ya Rais TAMISEMI
15/04/2018