Kikosi cha serengetiboystz kinachoanza katika mchezo wa leo dhidi ya Uganda U-17 kwenye mashindano ya CECAFA U-17 Championship yanayofanyika Burundi. Kila la Kheri serengetu boys