HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatano, 25 Aprili 2018

Mrisho Mpoto "Wanawake Bongo Wanafikiria Kukaa Uchi Ndio Wataolewa"


Mijadala mingi iliibuka baada ya wasanii AY na Ali Kiba kuamua kuoa wake zao ambao sio watanzania sasa Mrisho Mpoto atoa somo kwa wasichana wa kitanzania na kuwaambia

" Wasifikirie kukaa utupu ndio wanaweza kuolewa bali ni nidhamu, heshima, kujitunza na kujiheshimu pia akaongeza kwa kuwashauri wajiangalie wapi walipokosea na wajisahihishe."