TANZIA: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Lindi, Alhaj Ally Mtopa amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alipokuwa amelazwa kwa aajili ya kupatiwa matibabu.