HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Msaidizi wa Rais, Kanali Mlunga Akaribishwa Rasmi Ikulu


Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa amemkaribisha Ikulu Msaidizi wa Rais Magufuli Kanali Mlunga. 

Kanali Mlunga amechukua nafasi ya Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.

Gerson Msigwa akimuaga Mbaraka Mkeremy aliyepandishwa cheo na kuwa Brigedia Jenerali.