HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Alhamisi, 12 Aprili 2018

Msigwa ampongeza Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy

Msemaji wa Ikulu Gerson Msigwa amempongeza Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy kwa kupandishwa cheo na Rais Magufuli.

"Hongera sana Kaka yangu Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy. Nakutakia heri nyingi katika majukumu utakayopangiwa huko Jeshini. Japo sina taaluma ya Jeshi, sina mashaka kuwa umestahili kupandishwa cheo kutoka Kanali na kuwa Brigedia Jenerali. Mwenyezi Mungu akusaidie na" akuongoze.