HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 17 Aprili 2018

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Ray Kigosi amefunguka sababu ya kutohudhuria katika utoaji wa tuzo za The African Prestigious Awards (APA) 2017

Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Ray Kigosi amefunguka sababu ya kutohudhuria katika utoaji wa tuzo za The African Prestigious Awards (APA) 2017.



Tuzo hizo zilizotolewa usiku wa kuamkia April 15, 2018 mjini Accra nchini Ghana, Ray na Monalisa waliibuka washindi kutoka Tanzania.

Ray Kigosi amesema alishindwa kuhudhuria utoaji wa tuzo hizo kutokana alikuwa safarini nje ya nchi.

“Sikufanikiwa kuhudhuria kwenye Awards hizo kwa sababu niko South Afrika kikazi sina cha kuwalipa ndugu zangu zaidi ya kuendelea kuwaletea Watanzania kazi nzuri zenye viwango boraili tuendelee kuiletea heshima nchi yetu,” amesema Ray Kigosi.