HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 10 Aprili 2018

MWANAUME ANAYETUHUMIWA KUMUUA RADIO,MAPYA TENA YAJIRI

MWANAUME ANAYETUHUMIWA KUMUUA RADIO,MAPYA TENA YAJIRI

Ni miezi miwili imepita tokea marehemu Radio afariki February 1, 2018, Radio ambae alikuwa pamoja na Weasel wakiunda kundi la Goodlyfe kutokea nchini Uganda, msiba wa Radio uligusa watu wengi duniani. Baada ya Radio kufariki mtuhumiwa

Wamala Godfrey alias Troy anayedaiwa kusababisha kifo cha Radio alikimbia na hakuonekana kwa wiki kadhaa lakini baada ya polisi kuendesha msako wa walifanikiwa kumkamata. Wamala Godfrey alias Troy amekiri kuwa alisababisha kifo cha Radio na kusema kuwa

Radio alimponyoka mikononi mwake na kujipigiza kichwa chake chini wakiwa wanapigana haikuwa lengo lake kumuua na hivyo kuomba msamaha ila hadi sasa mtuhumiwa anashikiliwa na polisi kutokana na mauaji aliyoyasababisha.