HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 8 Aprili 2018

Mwandishi wa The Guardian Aokotwa Akiwa Hajitambui, Amepigwa Vibayaa

Mwandishi wa The Guardian Aokotwa Akiwa Hajitambui, Amepigwa Vibayaa

DAR: Mwandishi wa gazeti la The Guardian, Finnigan F. Simbeye ameokotwa na wakazi wa Bunju akiwa hajitambui huku akionekana amepigwa sana

Mpaka sasa bado haijafahamika tukio hilo limetekelezwa na watu gani na kwa lengo gani

Kwa taarifa za sasa, Finnigan amefikishwa Hospitali ya Mwananyamala kupata huduma ya haraka kimatibabu