HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumapili, 8 Aprili 2018

Rais Magufuri ashiriki Misa na Sherehe za kumsimika Askofu Moshi

Rais Magufuri ashiriki Misa na Sherehe za kumsimika Askofu Moshi

Misa na sherehe ya kumsimika aliyekuwa Askofu wa Jimbo la moshi Askofu Mkuu Mteule, Isaac Amani inaendelea katika Parokia ya Mt Mt. Theresia Arusha.

Mhe. Rais Magufuli amewasili katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha ambapo anashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Hilo