Ifikapo Juni mwaka huu, serikali imesema itaajiri walimu wapya 6,000 wa masomo ya sayansi ikiwa ni mpango mkakati wa kumaliza uhaba wa walimu wa kada hiyo ifikapo 2020.
Hayo yalisemwa bungeni jana na Naibu Waziri wa TAMISEMI, Joseph Kakunda akimjibu Mbunge Hamidu Bobali (CUF). h
