Tanzia: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa Mkoani Dodoma Afariki Katika Ajali Mbaya
Taarifa zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa mkoani Dodoma, Mhandisi Ngusa Izengo amefariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta usiku wa kuamkia leo