Polisi wamemkamata mwanamke wa kijiji cha Sokoni wilayani Tarime, kwa kumuua mtoto wake wa miaka minane kwa kumpiga na mwiko. Kamanda wa polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya, Henry Mwaibambe alisema tukio hilo lilitokea Machi 25 . Mwaibambe alisema chanzo ni baada ya mtoto Debora Jomo kula chakula ambacho mama yake alikiandaa kwa ajili ya kula […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->