HOUSE OF ENTERTAINMENT

JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 17 Aprili 2018

'Yanga TV Show' sasa kitaanza kuruka rasmi kuanzia Ijumaa hii, April 20 2018

Kile kipindi maalum cha TV cha Kile kipindi maalum cha TV cha klabu Yanga kitakachotambulika kama 'Yanga TV Show' sasa kitaanza kuruka rasmi kuanzia Ijumaa hii, April 20 2018 saa moja jioni.

Kulingana na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, amesema runinga ya Azam imewahakikishia kuwa kipindi hicho ambacho awali ilikuwa kianza kuruka hewani April 01 kitaanza kuruka Ijumaa hii.

Tayari matangazo ya kukitambulisha kipindi hicho yameanza kuonekana kwenye runinga ya Azam.

Ten amesema tofauti na vipindi vingine vya vilabu, kipindi hicho kitaandaliwa kwa asilimia 100 na Wana Yanga wenyewe.

Kitakuwa kinaandaliwa kwenye Studio za Yanga na kitasimamiwa kikamilifu na uongozi wa YangaYanga TV Show' sasa kitaanza kuruka rasmi kuanzia Ijumaa hii, April 20 2018 saa moja jioni.

Kulingana na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, amesema runinga ya Azam imewahakikishia kuwa kipindi hicho ambacho awali ilikuwa kianza kuruka hewani April 01 kitaanza kuruka Ijumaa hii.

Tayari matangazo ya kukitambulisha kipindi hicho yameanza kuonekana kwenye runinga ya Azam.

Ten amesema tofauti na vipindi vingine vya vilabu, kipindi hicho kitaandaliwa kwa asilimia 100 na Wana Yanga wenyewe.

Kitakuwa kinaandaliwa kwenye Studio za Yanga na kitasimamiwa kikamilifu na uongozi wa Yanga