HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 24 Aprili 2018

Watazamaji wa Wimbo wa Belle 9 'Masogange' Waongezeka Ghafla Youtube


Kwanza tupeane pole kwa Msiba wa ndugu yetu Agnes.
Kurudi kwenye mada nimepitia kwenye Youtube Channel na nimegundua watazamaji wengi sana wemeutazama huu wimbo kipindi hichi ili kumuona Agnes au Masogange kama alivyofahimika baada ya kushiriki kwenye wimbo wa video hii.

Kabla ya hapo watazamaji wa huu wimbo na wachangiaji walikuwa wachache wasiofikia hata laki moja. Hivi niandikapo kuna watazamaji zaidi ya laki mbili na nusu na watoa maoni zaidi ya mia nne.

Basi na wewe kama bado hukuwahi kuutazama wimbo huo wa Masogange uliompa umaarufu Marehemu Aggy mpaka akaitwa Masogange nimekuwekea hapa chini