HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumatano, 2 Mei 2018

Agenda mkutano wa yanga may 6

Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga unafanyika Jumapili ijayo May 06 jijini Dar es salaam.

Hizi hapa ajenda za Mkutano huo;

Uhakiki wa wajumbe walio hudhuria mkutano

Kuthibitisha ajenda

Kuthibitisha kumbu kumbu za mkutano uliopita

Yatokanayo na kumbu kumbu za mkutano uliopita

Hotuba ya Mwenyekiti

Kupokea na kujadili taarifa za kazi kutoka kamati ya utendaji

Kuthibitisha hesabu Zach fedha zilizo kaguliwa kwa mwaka uliopita

Kuthibitisha taarifa ya chombo cha ukaguzi na hatua zilizo chukuliwa na vyombo vya utendaji

Kuthibitisha kwa bajeti (Makadirio /makisio) ya mwaka unaofuata

Uchaguzi wa nafasi zilizowazi

Kupitia Mapendekezo ya marekebisho ya katiba na taratibu za Young Africans Sc
Majadiliano ya Mapendekezo yaliyo wasilishwa na Kamati ya utendaji

Wanachama watakaoruhusiwa kuingia katika Mkutano huo ni wale ambao wamelipia ada zao za uanachama