CHADEMA imeanza uchaguzi kuwapata viongozi wake huku kukiwa na minong’ono kwamba kuna wanachama wanaotaka mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ang’atuke madarakani. #Mwananchi