Winga wa Klabu ya Simba Shiza Ramadhan Kichuya ameweka rekodi ya kutengeneza mabao 24 kati ya 61 yaliyofungwa na Klabu ya Simba msimu uliomalizika wa 2017/18. Kichuya amefanikiwa kufunga magoli 7 katika Ligi kuu hiyo msimu 2017/18.
Neno moja kwa Kichuya.