Familia ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema), imesema haki anazostahili ndugu yao zikiwamo gharama za matibabu, uchunguzi wa waliomshambulia kwa risasi, zitacheleweshwa kwa muda lakini hatimaye ipo siku atazipata. Msemaji wa familia hiyo, Wakili Alute Mughwai, alisema hayo jana wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake, jijini hapa.Alisema familia haitachoka kudai haki za Lissu […]
PATA HABARI KWA HARAKA ZAIDI KWENYE SIMU YAKO Download katisha blog App👇👇Bonyeza hapa👇👇https://play.google.com/store/apps/details?id=com.katisha.blog BLOG APP