HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Ijumaa, 4 Mei 2018

Ligi kuu Tanzania Bara kuendelea wikendi hii

Ligi kuu ya Vodacom inaelekea ukingoni ambapo leo inaingia mzunguuko wa 27 kwa mchezo mmoja kupigwa.

Leo Ruvu Shooting itakuwa kwenye uwanja wake wa mabatini kuikabili Mwadui FC.

Kesho Jumamosi May 05 kutakuwa na michezo miwili ambapo Singida United itakuwa nyumbani ikiikaribisha Njombe Mji na Prisons ikiivaa Lipuli mkoani Mbeya.

Jumapili May 06 kutapigwa michezo minne;

Kagera Sugar vs Mbeya City
Majimaji vs Mtibwa Sugar
Stand United vs Azam FC
Simba vs Ndanda FC

Jumatano ya May 09 kutakuwa na mchezo mmoja kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga