Heshima kwenu wote!
Nimeona hii kitu,je INA ukweli wowote?
Nimeshindwa kuelewa Dkt.Bashir kuwa katibu mkuu wa CCM na huyu mama KijoBisimba kuwa mjumbe kwenye baraza la wazee CHADEMA.
Hivi hizi taasisi za serikali na zisizo za serikali zote zimejaa wanasiasa kwenye kadi za vyama mifukoni,halafu huwa wanajifanya wapo neutral (hawana chama)
Any way kupanga ni kuchagua!
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->