Kumekuwa na tetesi huko instagram kuwa msanii Aslay na mke wake ambae amebahatika nae kupata mtoto mmoja kuwa kwa sasa hawapo tena pamoja na kwamba wawili hao kila mmoja anafata ustaarabu wake kwa saa na inawezekana hata kukaa pamoja hawakai tena.
Wikiendi hii ilikuwa ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa wawili ho huku siku zao zikiwa zimefatana lakini kitu cha ajabu ni kwamba hakukuwa na shamrashamra za sherehe hiyo kwa wote wawili huku alsya hakutaka hata kuweka picha ya mzazi mwenzake huyo katika ukurasa wake wa instagram
Habari ziliozpo chini ya kapeti ni kwamba Aslay na Tessy hawako pamoja tena na kwamba mwanamke huyo alishaondoka nyumbani kwa aslay na sasa wapo katika mahuiano kama ya wazazi tu na sio vinginevyo.
Wasanii wengi wamekuwa na skendo za kuwa na mape nzi ya muda mfupi na pengine hata kushindwa kufikia muafaka wa ndoa kwa wapenzi wao huku swala kubwa likihusishwa na wivu wa mapenzi na kulewa umaarufu.