HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 5 Mei 2018

Mwanafunzi wa Sekondari Akabidhiwa Milioni 3 na Rais Maguful

Rais John Magufuli leo May 5, 2018 kwenye ziara yake mkoani Morogoro akiwa njiani kuelekea Kilombero kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Daraja la Kilombero amezungumza na wananchi wa kijiji cha Mang’ula. 

PATA HABARI KWA  HARAKA ZAIDI KWENYE SIMU YAKO Download katisha blog App👇👇Bonyeza hapa👇👇https://play.google.com/store/apps/details?id=com.katisha.blog BLOG APP

Baada ya kuzungumza na wananchi aliuliza changamoto inayowakabili wanafunzi, ambapo mwanafunzi wa kidato cha kwanza wa Shule ya Sekondari Mang’ula aitwaye Mlindoka Msangi alidai wana uhaba wa vyoo shuleni kwao. 
Kutokana na hilo Rais Magufuli alitoa na kumkabidhi mwanafunzi huyo Shilingi Milioni tatu kwaajili ya ujenzi wa vyoo na kumkabidhi mtoto huyo kwa askari polisi na kumwagiza ahakikishe fedha hizo zinafika shuleni kwaajili ya kuanza kwa ujenzi. 
Mwishoni Rais Magufuli aliwaambia wananchi pia wachangie fedha katika ujenzi wa vyoo hivyo vya shule hiyo ili kumaliza changamoto hiyo.