HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 5 Mei 2018

Viingilio vya tangazwa Ngorongoro Vs Mali

Viingilio vya mechi ya kimataifa kati ya timu ya taifa ya Tanzania chini ya miaka 20 Ngorongoro Hero's dhidi ya Timu ya vijana Ya Mali vimetangazwa rasmi ili kuwapa fulsa washabiki na wadau Wa soka kuutazama mchezo huo utakao pigwa Dimba la Taifa Jijini Dar ea salam  jpili 13/may/2018.