Kutoka bungeni jijini Dodoma serikali imewaondoa hofu na ku wataka wanafunzi waliokua wakifadhiliwa na taasisi mbalimbali kuleta barua za ushahidi wa ufadhili.
"Kwa wanafunzi ambao wamesoma kwa ufadhili, serikali haiwabagui kwa kuwanyima mikopo. Tunachotaka ni barua ya ushahidi kuwa kweli mwanafunzi alikuwa anafadhiliwa." Naibu Waziri wa Elimu, William Ole Nasha
PATA HABARI MBALIMBALI KWA HARAKA KWENYE SIMU YAKO
INSTALL KATISHA BLOG APP BONYEZA HAPA KWENYE NEMBO