Kama alivyowahi kunukuliwa kwamba yeye ni mpiga debe wa Tanzania ya Viwanda,jana Waziri Charles Mwijage amehamishia debe hilo kwenye shule za sekondari akisema wanafunzi waandaliwe kuchukua jukumu mbeleni kwa kuwa viwanda vinavyojengwa sasa ni vile vya kipindi cha mpito. Akihutubia katika mahafali ya kidato cha sita kwa shule za sekondari Kaizirege na Kemebos, jana Mei […]
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->