HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumanne, 5 Juni 2018

Post ya manara baada ya Yanga na simba kupangwa kundi moja

Ratiba na makundi ya michuano ya CECAFA Kagame Cup imetoka na kuonesha kuwa itaanza June 28 mwaka huu na kufikia tamani July 13 mwka huu.

Simba na Yanga zimepangwa kwenye kundi moja kundi C, baada ya kupangwa pamoja mkuu wa kitengo cha habari wa Simba, Haji Manara amewataka watani zake Yanga ‘wasiingie mitini.’


Manara amesema hawatapenda kuona yale yaliyotokea Nakuru Kenya kwa Yanga kufanya ujanja ili iondoshwe mapema, yanatokea tena.


Kupitia ukarasa wake wa Instagram Manara ameandika hivi “Nawatuma nyie watangazaji wa @azamtvtz mkawaambie mabosi zenu waongee na Cecafa..kutupanga na mbute mbute kundi moja kagame cup wana maana gani?


“kwa jinsi walivyo taabani si tutapiga sita?au na hii wataumwaga kama walivyotukimbia huku kwenye Sportpesa super cup?.