Miaka kadhaa nyuma iliyopita mwanamuziki diamond platinumz aliwahi kutoa nyimba na msani kutoka Nigeria Mr Flavour, wimbo ambao ulimpatia diamond viewers wengi sana kiasi cha kufikia milion 4o views katika wimbo wake mmoja tu katika mtandao wa you tube.
kwa jinsi idadi hiyo ya views inavyotolewa na youtube kwa upand wa msanii diamond na alikia unakuja kuoa kuwa katika viewers wa alikiba wa nyimbo zake nne za hivi karibuni ikiwepo Seduce me,Aje , Nagharamia na Mwana Dar Es Salaam kwa ujumla wake zinaleta viewers milioni 40 ambayo ni sawa na wimbo mmoja wa msanii diamond aliwai kufikisha katika wimbo wake huo wa nana.
wawili hawa pamoja na kwamba wamekuwa mahasimu wakubwa lakini wamekuwa wakifanya kazi kwa malengo hasa ya kuwakosha mashabiki zao katika tasnia hii ya muziki.swala sio kuleta ushindani wa kugombana lakini kubwa ni kuangalia jinsi gani wasanii hawa wawili waliweza kufanya ngoma zao na mafanikio yao yalikuwaje kwa hivi karibuni.
#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.
Miaka kadhaa nyuma iliyopita mwanamuziki diamond platinumz aliwahi kutoa nyimba na msani kutoka Nigeria Mr Flavour, wimbo ambao ulimpatia diamond viewers wengi sana kiasi cha kufikia milion 4o views katika wimbo wake mmoja tu katika mtandao wa you tube. kwa jinsi idadi hiyo ya views inavyotolewa na youtube kwa upand wa msanii diamond na alikia unakuja kuoa kuwa katika viewers wa alikiba wa nyimbo zake nne za hivi karibuni ikiwepo Seduce me,Aje , Nagharamia na Mwana Dar Es Salaam kwa ujumla wake zinaleta viewers milioni 40 ambayo ni sawa......