HOUSE OF ENTERTAINMENT


JOIN KENYASWAHILINEWS
!-- AdsAgony - Ad Display Code -->

MPYA MPYA ZA LEO

HABARI (193) Michezo (121) BURUDANI (86)

Jumamosi, 2 Juni 2018

Ulinzi kuimalishwa mkutano wa yanga




MKUTANO Mkuu wa Yanga uliopangwa kufanyika Juni 10, mwaka huu katika ukumbi utakaotajwa baadaye, unatarajiwa kuwa na ulinzi mkali ili kudhibiti wanachama waliopanga kufanya fujo siku hiyo.


Awali mkutano huo ulipangwa kufanyika Juni 17, mwaka huu, lakini sasa umerudishwa nyuma kwa kuwa siku hiyo huenda ikagongana na Sikukuu ya Eid el Fitr.


Akizungumza na BINGWA jana, Katibu Mkuu wa Yanga SC, Charles Mkwasa, alisema ameanza kuandaa barua za kuomba ulinzi Jeshi la Polisi kwenye mkutano huo.