TANZIA Diwani wa kata ya Mawenzi katika Manispaa ya Moshi, Hawa Mushi (CHADEMA) amefariki dunia jana katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.